Ajira nafasi ya Mtendaji wa mtaa III -2 Post 2024

Ciluashaz
0

 POST DETAILS

POSTMTENDAJI WA MTAA III - 2 POST
EMPLOYERHalmashauri ya Mji wa Makambako
APPLICATION TIMELINE:2024-06-18 2024-06-26
JOB SUMMARYN/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

1.    Katibu wa Kamati ya Mtaa

2.    Mtendaji Mkuu wa Mtaa

3.    Mratibu wa utekelezaji wa Sera na Sheria zinazotekelezwa na Halmashauri katika Mtaa.

4.    Mshauri wa kamati ya Mtaa kuhusu mipango ya maendeleo katika Mtaa

5.    Msimamizi wautekelezaji wa Sheria Ndogo pamoja na Sheria nyingine zinazotumika katika Mtaa.

6.    Mshauri wa kamati ya Mtaa kuhusu masuala ya Ulinzi na Usalama

7.    Msimamizi wa utekelezaji wa mikakati mbalimbali inayohusu uondoaji wa njaa na umasikini katika Mtaa.

8.    Kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Halmashauri na kutunza kumbukumbu za walipa kodi wote

9.    Kuandaa na kutunza rejesta ya wakazi wa Mtaa wote

10.    Atawajibika kwa Afisa Mtendaji wa Kata.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa mwenye elimu ya kidato cha nne/sita aliyehitimu mafunzo ya Astashahada / Cheti (NTA LEVEL 5) katika mojawapo ya fani zifuatazo:  Utawala, Sheria Elimu ya Jamii, Usimamizi wa Fedha, Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya sanaa kutoka chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo au chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.

REMUNERATIONTGS B

Post a Comment

0Comments

Post a Comment (0)